MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU, BAKARI MACHUMU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA MTANDAONI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 27 November 2025

MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU, BAKARI MACHUMU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA MTANDAONI


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mtandaoni pamoja na Wanablogu mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha na kupokea maoni yao, ikiwa ni mfululizo wa mikutano na wadau wa Tasnia ya Habari kwa ajili ya kuboresha masuala mbalimbali ya Mawasiliano baina ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu na Vyombo vya Habari, tarehe 27 Novemba, 2025.

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa akizungumza  katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Mabloga Tanzania (TBN) Bw. Beda Msimbe akizungumza
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) Shaban Matwebe akizungumza.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mindi Kasiga, akizungumza.
Mshauri wa Rais Mawasuala ya Mawasiliano na Habari, Tido Mhando akizungumza
Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa WAZOHURU MEDIA Ndg Mathias Canal akizungumza.
Mmiliki wa Fullshangwe Blog, John Bukuku akizungumza.
Mwanahabari Jane Edward, akichangia jambo kwenye kikao hicho.
Waandishi wa habari za mitandao wakiwa kwenye kikao hicho.
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Maswali yakiulizwa.
Mmiliki wa Manyunyu TV , akichangia jambo kwenye kikao hicho.
Mwanahabari Alphonce Kusaga akizungumza.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad