JAMAA ALIYEACHWA APATA BAHATI YA KUPENDWA NA KUFANYA HARUSI YA KITAIFA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, January 23, 2026

JAMAA ALIYEACHWA APATA BAHATI YA KUPENDWA NA KUFANYA HARUSI YA KITAIFA

Nilipoachwa, dunia yangu ilionekana kusimama. Mwanamke niliyempenda kwa moyo wangu wote alinigeuka ghafla na kuniacha bila maelezo ya kueleweka. Nilidharauliwa, nikachekwa, na hata baadhi ya marafiki walijitenga nami wakiamini maisha yangu yamefika mwisho.

Kila mahali nilipopita nilihisi macho ya watu yananiona kama mtu aliyeshindwa kimaisha na kimapenzi. Nilijaribu kuanza upya. Nilijaribu kujiamini tena, kuzungumza na watu wapya, hata kuomba na kujipa moyo.

Lakini kila nilipojaribu kusonga mbele, jambo fulani lilikuwa linanirudisha nyuma. Nilikuwa na biashara ndogo, nayo ilianza kudorora. Bahati ilinipotea, mapenzi hayakutokea, na siku zikawa nzito kama miezi.

Endelea Kusoma

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad