Wanafuzi wakiwa na miche ya miti taayaaari kwa kuipanda maeneo mbalimbali ya wilani Kilosa katika upandaji wa miti ulioongozwa na mkuu waa wilayaa hiyo, Shaka Hamdu Shaka Januari 27, 2026 mkoani Morogoro.
........................................
Na Mwandishi Wetu, Kilosa
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amewaongoza viongozi na wananchi wa makundi mbali mbali katika zoezi la kupanda miti katika eneo la Shule ya Msingi Dinima Tarafa ya Masanze Januari 27 , 2026.
Tukio hilo adhimu ni sehemu ya kumbukumbu ya siku
ya kuzaliwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Katika zoezi hilo wilaya ya Kilosa imekusudia kupanda miti 10,000 katika tarafa saba za wilaya hiyo.
Miche hiyo ya miti ikipandwa.Upandaji miche ya miti ukiendelea
Miche ya miti ikiendelea kupaandwa.


















No comments:
Post a Comment