NILIFANYA KAZI KWA MIAKA MBILI BILA KUPATA PROMOTION ILA NILIJITAFUTIA HIYO PROMOTION MWENYEWE - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, January 25, 2026

NILIFANYA KAZI KWA MIAKA MBILI BILA KUPATA PROMOTION ILA NILIJITAFUTIA HIYO PROMOTION MWENYEWE

Nilipoajiriwa kazini, nilikuwa na ndoto kubwa. Nilifanya kazi kwa bidii, nilikuwa mtu wa kwanza kufika na wa mwisho kutoka. Kila jukumu nililopewa nililitekeleza kwa uaminifu na kujituma.

Nilitarajia juhudi zangu zingeonekana, lakini mwaka wa kwanza ulipita bila mabadiliko yoyote. Nilijipa moyo nikijua labda muda wangu ulikuwa bado haujafika.

Endelea Kusoma


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad