NILIPOTEZA KILA KITU KWA WIKI MOJA LAKINI NJIA MOJA ILINIRUDISHA KWENYE MAISHA TENA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, January 18, 2026

NILIPOTEZA KILA KITU KWA WIKI MOJA LAKINI NJIA MOJA ILINIRUDISHA KWENYE MAISHA TENA

Haikuchukua mwezi. Haikuwa hata mchakato wa muda mrefu. Ilikuwa wiki moja tu wiki moja iliyonivua kila kitu nilichokuwa nikijivunia. Kazi niliyopigania kwa miaka iliniponyoka bila maelezo. Biashara ilianza kuporomoka ghafla. Marafiki walinitenga kimya kimya.

Ndani ya siku saba, maisha yangu yalibadilika kuwa magofu. Nilikuwa naamka kila asubuhi nikiwa na matumaini kuwa leo mambo yatanyooka. Badala yake, kila siku ilileta pigo jipya. Simu zilinyamaza.

Endelea Kusoma

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad