RAIS . DKT. SAMIA AONGOZA ZOEZI LA KUKATA KEKI WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, January 28, 2026

RAIS . DKT. SAMIA AONGOZA ZOEZI LA KUKATA KEKI WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata Keki mara baada ya kuongoza Zoezi la kupanda miti kwenye eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kuongoza Zoezi la kupanda miti kwenye eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. 
Matukio mbalimbali wakati wa Zoezi la kupanda miti kwenye eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, katika kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27 Januari, 1960. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad