Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Taaluma na
Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya
Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Jengo la Taaluma na
Utawala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari mara
baada ya uzinduzi uliofanyika Buyu, Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali
mara baada ya kuwasili katika Jengo la Taaluma na Utawala la Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026.
Taswira ya Jengo la Taaluma
na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya
Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Buyu Zanzibar tarehe 08
Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuzindua Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026.
















No comments:
Post a Comment