Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania,
Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa, pamoja na Wawakilishi wa Heshima katika
sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi
(Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika kwa mara ya kwanza Ikulu ya Chamwino, Dodoma
tarehe 15 Januari, 2026.
Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Wawakilishi
wa Mashirika ya Kimataifa, pamoja na Wawakilishi wa Heshima wakiwa kwenye
sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi
(Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika kwa mara ya kwanza, Ikulu ya Chamwino, Dodoma
tarehe 15 Januari, 2026.
Amidi wa Mabalozi ambaye
pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih,
akizungumza kwenye sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika kwa
mara ya kwanza, Ikulu ya Chamwino, Dodoma tarehe 15 Januari, 2026.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Thabit Kombo akizungumza kwenye
sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi
(Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika kwa mara ya kwanza, Ikulu ya Chamwino, Dodoma
tarehe 15 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amidi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa
Comoro nchini Tanzania Mhe. Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih, Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Thabit Kombo, Katibu Mkuu
Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Ikulu Ndugu Mululi Majula
Mahendeka kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania
katika sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party), Ikulu ya Chamwino,
Dodoma tarehe 15 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amidi
wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Ahmada El
Badaoui Mohamed Fakih, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Balozi Thabit Kombo, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses
Kusiluka, Katibu Mkuu Ikulu Ndugu. Mululi Majula Mahendeka kwenye picha ya pamoja na Wawakilishi wa
Heshima na Kaimu Mabalozi katika
sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party), Ikulu ya Chamwino,
Dodoma tarehe 15 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiwa na Amidi
wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Ahmada El
Badaoui Mohamed Fakih, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Balozi Thabit Kombo, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses
Kusiluka, Katibu Mkuu Ikulu Ndugu. Mululi Majula Mahendeka kwenye picha ya
pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa katika sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry
Party), Ikulu ya Chamwino, Dodoma tarehe 15 Januari, 2026.


















No comments:
Post a Comment