Naitwa
Anna, mwanamke ambaye kwa miaka mingi niliishi maisha ya uigizaji. Nilikuwa na
hofu moja kubwa; nilihisi sura yangu haina mvuto wa asili wa kumtuliza mwanaume
ndani ya nyumba. Hali hii ilinifanya nianze kutumia vipodozi vikali na kujiremba
kupitiliza ili tu nipate mchumba. Lakini ajabu ni kwamba, kila mwanaume
niliyekuwa naye alikuwa akiondoka punde tu mahusiano yanapopamba moto.
Kwa zaidi ya miaka nane, nimekuwa mhanga wa kuachwa. Nimeanzisha
mahusiano na wanaume zaidi ya kumi, lakini wote walikuwa wakipotea mara tu
tunapoanza kuzungumzia masuala ya kuonana na wazazi. Nilianza kuamini kuwa nina
nuksi ya kuzaliwa inayowafanya wanaume wanione kama kikaragosi badala ya mke.
Hali hii ilinipeleka kwa waganga wengi nchini Tanzania. Nikaoga maji ya kila aina ya mitishamba nikiahidiwa kuvutia wanaume, lakini wapi! Walikuwa wakimaliza akiba yangu ya benki na kuniacha mnyonge zaidi. Nilihisi nimekata tamaa kabisa na kuanza kujitenga na jamii.








No comments:
Post a Comment