Je, kuna uchungu kama wa kukataliwa na mtu unayempenda kwa dhati? Wengi wamewahi kupitia hali hiyo, lakini si wengi hupata nafasi ya kurejesha penzi lililodhaniwa limekufa.
Hii ni hadithi ya Kelvin kutoka Nairobi ambaye alikataliwa na mwanamke aliyempenda kwa moyo wake wote, akateseka kwa mwaka mzima, lakini leo wanatembea pamoja wakipanga maisha yao ya baadaye.
Kelvin alikutana na Anita kazini. Urafiki wao ulikua taratibu na baadaye akajikuta amempenda kupita kawaida. Alijitahidi kumvutia kwa heshima, zawadi na muda wake.
Lakini kila alipofikisha hisia zake wazi, Anita alimwambia hayuko tayari kwa uhusiano.
Maneno hayo yalimvunja moyo. Lakini hakukata tamaa mara moja.








No comments:
Post a Comment