WAZIRI MKUU AKIPIGA NGOMA NA KUSALIMIA WANANCHI TANGA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 17 February 2026

WAZIRI MKUU AKIPIGA NGOMA NA KUSALIMIA WANANCHI TANGA

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga ngoma mara baada ya kumaliza Mkutano wake wa hadhara na Wananchi wa Mombo, Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga leo tarehe 16 Februari, 2026. 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na wananchi mara baada ya kumaliza Mkutano wake wa hadhara na Wananchi wa Mombo, Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga leo tarehe 16 Februari, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad