ALIYEKUWA AKIFANYIWA VIKAO VYA UKOO KISA KUTOBEBA UJAUZITO, SASA ANAPAKATA PACHA! - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 25 February 2026

ALIYEKUWA AKIFANYIWA VIKAO VYA UKOO KISA KUTOBEBA UJAUZITO, SASA ANAPAKATA PACHA!

Naitwa Agatha, mkazi wa mkoa wa Kagera. Licha ya kuwa na heshima kubwa kazini kama Mwalimu Mkuu, nyumbani kwangu nilikuwa sina thamani yoyote. Kwa miaka tisa ya ndoa, sikuwa nimewahi kuona hata dalili ya ujauzito.

Ndugu wa mume wangu walikuwa wakifanya vikao vya mara kwa mara bila mimi kuwepo, wakipanga jinsi ya kumtafutia mume wangu mwanamke mwingine “mwenye uwezo wa kuleta uzao”. Nilihisi upweke wa ajabu katikati ya watu ninaowapenda.

Nilitumia mishahara yangu mingi kusafiri hadi hospitali kubwa za rufaa, nikafanyiwa vipimo vyote vya kisasa ikiwemo vya mirija (HSG), lakini kila kitu kilionekana kuwa sawa. Hali hii ilinichanganya sana; kwanini kila kitu kiwe sawa lakini mwanangu asipatikane? Nilianza kuamini kuwa labda nilipangiwa kuishi maisha ya ukiwa hadi...

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad