KIJANA ALIYEKUWA AKIFUKUZWA KODI YA CHUMBA KILA MWEZI ASHINDA ‘SUPER JACKPOT’ YA KIHISTORIA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 25 February 2026

KIJANA ALIYEKUWA AKIFUKUZWA KODI YA CHUMBA KILA MWEZI ASHINDA ‘SUPER JACKPOT’ YA KIHISTORIA

Maisha ya mtaani yanaweza kukunyanyasa mpaka ukajihisi huna thamani, hasa unapokuwa mwanaume unayekaribia umri wa kuanza familia lakini huna hata mahali pa uhakika pa kulaza kichwa.

Naitwa Kelvin, na kwa miaka mitano nilikuwa nikiishi maisha ya “kupiga chapa” yaani kubahatisha hapa na pale ili nipate mlo wa siku.

Niliingia kwenye ulimwengu wa kubashiri (betting) kwa matumaini makubwa ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ya gereji, kwani nina taaluma ya ufundi wa magari lakini sikuwa na vifaa wala eneo.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad