Naitwa Said, mkazi wa jiji la Dar es Salaam, maeneo ya Kariakoo
mtaa wa Congo. Kwa miaka tisa, nimekuwa nikihangaika na biashara ya kuuza
mazulia, mapazia, na mashuka ya gharama. Kila mmoja anajua kuwa Kariakoo ndiyo
moyo wa biashara, hivyo niliwekeza mamilioni ya pesa niliyopata baada ya
kustaafu kazi yangu ya ulinzi.
Lakini ndugu zangu, nilichoambulia ni maumivu ya mgongo kwa kukunjua na kutandika mazulia kila asubuhi huku hakuna mteja anayenunua hata kitambaa cha meza.








No comments:
Post a Comment