ANAMILIKI MALORI YA USAFIRISHAJI BAADA YA KUNASA SIRI KWENYE KILINGE CHA KAHAWA! - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 26 February 2026

ANAMILIKI MALORI YA USAFIRISHAJI BAADA YA KUNASA SIRI KWENYE KILINGE CHA KAHAWA!

Naitwa Benson, mkazi wa jiji la Mbeya, mji wa fursa na baridi. Kwa miaka sita, nilikuwa nimefungua duka langu la vifaa vya ujenzi (Hardware) maeneo ya Uyole. Kwa nje, duka langu lilionekana limesheheni kila kitu kuanzia nondo, mabati, hadi rangi za kisasa. Lakini ndugu zangu, hali ya ndani ilikuwa ni ukame wa kutisha.

Nilikuwa nafika asubuhi, napangusa vumbi, kisha nashinda nimekaa kwenye kiti nikiangalia mende wakipishana kwenye mabati, huku hakuna mteja anayeingia hata kuuliza bei ya msumari mmoja.

Hali hii ilikuwa inanidhalilisha sana kibiashara. Niliona majengo mapya yakichomoza kila kona ya jiji la Mbeya, lakini cha ajabu, wamiliki wa majengo hayo walikuwa wanapita mbele ya duka langu na kwenda kununua vifaa mbali kabisa, huku mimi nikiambulia kuona saruji yangu ikiganda na kuwa mawe ndani ya mifuko.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad