Naitwa Abubakar, mwanaume niliyepambana sana kimaisha na kufanikiwa kumiliki biashara zangu kadhaa hapa jijini Dar es Salaam.
Lakini licha ya mafanikio yangu ya kifedha, nilikuwa na kidonda kimoja kikubwa ambacho kilikuwa kinanitesa kila siku; sikuwa na mwanamke wa maisha.
Kwa miaka zaidi ya kumi, nilikuwa nikitafuta mke wa ndoa lakini kila mwanamke niliyeanzisha naye mahusiano alikuwa akiondoka kwa sababu zisizoeleweka.
Wengine walikuwa wakidai kuwa wananiogopa, na wengine walikuwa wakipotea tu ghafla punde tunapoanza kuzungumzia suala la kwenda kujitambulisha kwa wazazi. Hali hii ilinifanya nianze kuitwa “mgaa na nyoka” na ndugu zangu, na mzee wangu alifikia hatua ya kunitishia kuwa hatanipa urithi wa mashamba yetu ikiwa sitaoa kabla ya yeye kufariki.








No comments:
Post a Comment