MAMA MARIA NYERERE ASHIRIKI IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MAREHEMU MUADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 26 February 2026

MAMA MARIA NYERERE ASHIRIKI IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MAREHEMU MUADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO

Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere,  akisalimiana na  paroko wa parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay  Dar es Salaam , Barthlomeo Mrosso (kushoto) mara baada ya ibada ya misa ya kumwombea marehemu Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es SalaamFebruari26,2026 Muadhama Polycarp Cardinal Pengo, aliyefariki dunia Februari 19, 2026, akiwa anapatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere,  akishiriki  Ekaristi Takatifu  ( Mwili na Damu ya Yesu Kristo) wakati wa ibada ya misa ya kumwombea marehemu Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Cardinal Pengo, aliyefariki dunia Februari 19, 2026, akiwa anapatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)  Iliyofanyika  katika Kanisa  Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay  ambapo waumi mbalimbali wa kanisa hilo walishiriki.
Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere,  pamoja na waumini   parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay  Dar es Salaam, wakiwa katika ibada ya misa Takatifu ya  kumwombe  marehemu Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Cardinal Pengo, aliyefariki dunia Februari 19, 2026, akiwa anapatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam. Iliyoongozwa na  Paroko wa parokia hiyo  Bartholomeo Mrosso .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad