Kwenye meza ya udaku leo tuna mkasa wa Amina,
aliyekuwa maarufu kwa kusingizia “nimechoka na kazi” kila saa za kulala
zilipofika ili tu amkwepre mumewe. Ukweli ulikuwa mchungu na wa siri: Amina
alikuwa na ukavu uliokuwa unamsababishia maumivu makali wakati wa tendo, kiasi
cha kuogopa kitanda.
Badala ya kutafuta tiba, alikuwa akijificha
kwenye kivuli cha uchovu wa kazi za ofisini na za nyumbani. Siku moja mume wake
alimlipukia kwa hasira na kusema hawezi kuendelea kuishi na mwanamke
asiyemuhitaji chumbani, huku akitishia kudai talaka mara moja.
Amina alihisi naye ana laana ya ajabu kwasababu tangu awe mkavu, hata uso wake ulikosa nuru na mvuto. Alihisi naye nimerogwa na wanawake waliokuwa wakimnyatia mume wake mwenye cheo kikubwa serikalini ili wamng’oe Amina kwenye nafasi yake. Alikuwa na hofu kubwa ya kuachwa na kurudi kwao na aibu ya kushindwa kuhimili ndoa.








No comments:
Post a Comment