MCHUNGAJI AVAMIWA NA NYUKI AKIWA MADHABAHUNI AKIHUBIRI - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 10 February 2026

MCHUNGAJI AVAMIWA NA NYUKI AKIWA MADHABAHUNI AKIHUBIRI

Waumini wa kanisa moja huko maeneo ya Kakamega walibaki midomo wazi na kukimbia hovyo baada ya ibada ya Jumapili kugeuka kuwa uwanja wa vita, pale “jeshi” la nyuki lilipovamia kanisa hilo na kumshambulia mchungaji kiongozi peke yake, huku waumini wengine wakiachwa salama.

Tukio hilo la aina yake lilitokea majira ya saa tano asubuhi wakati mchungaji huyo (jina linahifadhiwa) akiwa katikati ya mahubiri mazito akilaani wizi na dhuluma. Ghafla, kundi kubwa la nyuki liliingia..

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad