Kuitwa majina ya kashfa na mume wako kwa sababu ya
changamoto za kibaolojia ni jambo linaloumiza sana nafsi.
Naitwa Grace, na kwa muda mrefu nilikuwa napitia mateso ya kuwa
mkavu wakati wa tendo la ndoa. Mume wangu alikuwa ananiambia mimi ni “gogo”
lisilo na ladha, jambo lililonifanya nilie kila usiku.
Nilikuwa nimepoteza hamu ya tendo kabisa kwa sababu ya
maumivu na hofu ya kuitwa majina ya kashfa mbele ya watu.
Ndoa yangu ilikuwa imefika ukingoni na mume wangu alikuwa
ameshaanza taratibu za kutaka kutalikiana na mimi. Nilihisi kuna mkono wa mtu
unanichezea, maana huko nyuma sikuwa na tatizo hilo.
Nilihisi kama nyota yangu ya ndoa imepokwa na maadui walioapa kuniona
nikiteseka na kubaki upweke maisha yangu yote.








No comments:
Post a Comment