Mimi naitwa Tumaini, mkazi wa Sumbawanga, mkoani Rukwa. Maisha
yangu ya ndoa na mume wangu yalikuwa yameingia doa baada ya mimi kuanza kupata
changamoto ya ukavu ukeni. Kila tulipojaribu kushiriki tendo la ndoa, nilikuwa
nahisi kama ninachomwa na pasi ya mkaa.
Hali hii ilinifanya nianze kukwepa kabisa kukaa karibu na mume
wangu. Nilijihisi mnyonge na niliyepoteza uwezo wa kuitwa mwanamke kamili.
Mume wangu alianza kuwa mkali na mwenye maneno ya kejeli.
Alianza kusema kuwa labda nimerogwa au nina matatizo ya akili yanayonifanya
nisishiriki naye vizuri. Ndoa yetu iliyokuwa na amani iligeuka kuwa uwanja wa
vita.
Nilizunguka kwa waganga mbalimbali hapa Sumbawanga lakini hakuna aliyeweza kunisaidia. Nilikuwa tayari nimepoteza matumaini na kuanza kufikiria kuwa labda nitaishi bila mume kwa maisha yangu yote yaliyobaki kwa hofu ya kero hii.








No comments:
Post a Comment