RAIS. DKT. SAMIA ASHIRIKI FUTARI NA MAKUNDI MBALIMBALI, IKULU YA TUNGUU ZANZIBAR. - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, February 20, 2026

RAIS. DKT. SAMIA ASHIRIKI FUTARI NA MAKUNDI MBALIMBALI, IKULU YA TUNGUU ZANZIBAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki futari na makundi mbalimbali ya wananchi katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 19 Februari, 2026.
Sehemu ya Wageni waalikwa walioshiriki futari na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani,  Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 19 Februari, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad