WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA MABALOZI WA QATAR NCHINI - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, 16 February 2026

WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA MABALOZI WA QATAR NCHINI

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, Februari 16, 2026, Jijini Dar ES Salaam. Lengo kuu la ziara hiyo lilikuwa kujadili maeneo ya ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar katika suala la Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira. Wa kwanza kushoto ni Mfasiri na Mkalimani wa Balozi Bw. Fawaz Ibrahim Argof.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Bin Ahmed Okeish, jijini Dar es Salaam, Februari 16, 2026, lengo la kukutana viongozi hao ni kuhusu Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, Februari 16, 2026, Jijini Dar ES Salaam. Lengo kuu la ziara hiyo lilikuwa kujadili maeneo ya ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar katika suala la Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad