ALIKOSA HATA MTEJA WA SIDIRIA HUKU KODI IKIMKATA KOO, SASA HIVI ANAMILIKI MAKONTENA YA NGUO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 3 March 2026

ALIKOSA HATA MTEJA WA SIDIRIA HUKU KODI IKIMKATA KOO, SASA HIVI ANAMILIKI MAKONTENA YA NGUO

Alikosa hata mteja wa sidiria huku kodi ikimkata koo, sasa hivi anamiliki makontena ya nguo.
......................................................

Naitwa Benson, mkazi wa jiji la Mbeya, mji wa baridi na fursa. Kwa miaka sita, nilijichimbia katika biashara ya nguo za mitumba (kamisheni) pale soko la Mwanjelwa. Nilikuwa na duka lililosheheni ‘grade one’ ya nguo kutoka Ulaya, lakini maisha yangu yalikuwa ni kitendawili.

Kila asubuhi nilikuwa nafika dukani na kuanza kupangusa vumbi, lakini jua lilikuwa linazama bila mteja hata mmoja kuingiza kichwa kuuliza bei.

Hali hii ilikuwa inakatisha tamaa sana, hasa ukizingatia kuwa duka la jirani yangu lilikuwa linajaa watu hadi wengine wanagombea nguo, wakati duka langu lilikuwa kama limepakwa dawa ya kufukuza watu. Nilihisi nina mkosi usiofutika...ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad