Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Iftaraliyowaandalia Mabalozi
wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa,
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Machi, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao
Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa mara baada yaIftar aliyowaandalia,
Ikulu Jijini Dar es Salaam,tarehe 03 Machi, 2026.
Mabalozi, viongozi mbalimbali pamoja na Wakuu wa
Mashirika ya Kimataifa wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu
Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.























No comments:
Post a Comment