ALIKUWA AKISHINDWA KUPATA HATA MCHUMBA WA KUMSALAMIA KISA NYOTA KUFIFIA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 22 March 2026

ALIKUWA AKISHINDWA KUPATA HATA MCHUMBA WA KUMSALAMIA KISA NYOTA KUFIFIA

Naitwa Grace, mwanamke ambaye tangu nikiwa binti mdogo nilijiamini kwa kila kitu kuanzia elimu yangu hadi urembo wa asili niliojaliwa. Lakini kadiri miaka ilivyokuwa ikisogea, niligundua kuwa urembo wangu ulikuwa kama pambo la ukutani ambalo kila mtu analitazama lakini hakuna anayethubutu kulichukua na kwenda nalo nyumbani.

Kwa zaidi ya miaka nane, niliishi maisha ya upweke uliokithiri kiasi kwamba hata wanaume wa mtaani walikuwa wanaogopa kunisalamia.

SOMA  ZAIDI




 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad