ALIKUWA ANAJIFANYA “ANAUMWA MENO” MWEZI MZIMA KUKWEPA UNYUMBA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 26 March 2026

ALIKUWA ANAJIFANYA “ANAUMWA MENO” MWEZI MZIMA KUKWEPA UNYUMBA

Naitwa Fatuma, natokea mkoani Tabora. Kwa kipindi cha miezi mitatu, nilikuwa nafanya kitu cha ajabu sana ili kukwepa unyumba na mume wangu. Kila usiku ulipofika, nilikuwa najifunga kitambaa kichwani na kusema, “Mume wangu, jino linaniuma sana leo, siwezi hata kugeuka.” Sababu ilikuwa ni kukosa hamu ya tendo na ukavu uliokuwa unanisababishia maumivu makali kiasi cha kunifanya nichukie tendo la ndoa.

Mume wangu alianza kushuku na kuniambia, “Fatuma, jino gani hilo linalouma kila usiku wa manane?” Alianza kusema kuwa labda nina.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad