Anamiliki malori ya usafirishaji baada ya kunasa siri kwenye kilinge cha kahawa!
Naitwa Benson, mkazi wa jiji la Mbeya, mji wa fursa na baridi. Kwa miaka sita, nilikuwa nimefungua duka langu la vifaa vya ujenzi (Hardware) maeneo ya Uyole. Kwa nje, duka langu lilionekana limesheheni kila kitu kuanzia nondo, mabati, hadi rangi za kisasa. Lakini ndugu zangu, hali ya ndani ilikuwa ni ukame wa kutisha.
Nilikuwa nafika asubuhi, napangusa vumbi, kisha nashinda nimekaa kwenye kiti nikiangalia mende wakipishana kwenye mabati, huku hakuna mteja anayeingia hata kuuliza bei ya msumari mmoja.








No comments:
Post a Comment