KUTOKA KUOMBA MBOGA KWA MAJIRANI MPAKA KUMILIKI MELI - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 12 March 2026

KUTOKA KUOMBA MBOGA KWA MAJIRANI MPAKA KUMILIKI MELI

Kutoka kuomba mboga kwa majirani mpaka kumiliki meli

Maisha ya mtaani kwa mwanamke ni magumu mara mbili zaidi, hasa unapokuwa na elimu yako lakini unalazimika kudhalilika kwa kuomba chumvi na mboga kwa majirani kila siku. Naitwa Lilian, na kwa miaka sita baada ya kuhitimu chuo, nilikuwa nikiishi maisha ya dhiki yaliyokithiri.

Nilianza kujitosa kwenye michezo ya kubashiri (betting), hasa ile ya haraka ya ‘virtual games’, nikiamini ningeweza kupata hata elfu kumi ya kusaidia familia yangu. Lakini, badala ya ushindi, nilijikuta nikipoteza hata kile kidogo nilichopewa na ndugu.

Kila nikicheza, timu zangu zilikuwa zinafungwa goli dakika ya mwisho kabisa, jambo lililonifanya nionekane kama mtu mwenye mkosi.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad