HALI YA KUONEKANA KITUKO ILINIUMIZA SANA ILA NIMESHINDA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, 28 March 2026

HALI YA KUONEKANA KITUKO ILINIUMIZA SANA ILA NIMESHINDA

Maisha ya mtaani yana tabia ya kukuponda mpaka unajiona huna thamani yoyote mbele ya jamii. Naitwa Hamisi, kijana ambaye nilitumia miaka saba ya ujana wangu nikihangaika kupata kazi bila mafanikio. 

Niliamua kugeukia michezo ya kubashiri (betting) kama njia ya kujikwamua, lakini badala ya neema, niliishia kuwa kituko cha mtaa.

Kila senti niliyopata kwa vibarua vya ujenzi, niliipeleka kuweka mikeka ambayo yote ilikuwa inachanika vibaya. 

Watu walianza kuniita “teja wa betting” na kila nilipopita, walikuwa wananicheka na kusema kuwa nimepoteza akili.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad