KIJANA ALIYEKUWA AKIZIBUA MITARO YA MAJI MACHAFU MTAANI APATA DILI LA DRC. - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 4 March 2026

KIJANA ALIYEKUWA AKIZIBUA MITARO YA MAJI MACHAFU MTAANI APATA DILI LA DRC.

Kijana aliyekuwa akizibua mitaro ya maji machafu mtaani apata dili la DRC.
...........................................

Kuna wakati maisha yanakupiga mpaka unahisi elimu yako ni laana badala ya baraka. Naitwa Ramadhani, mkazi wa mkoa wa Pwani. Licha ya kuwa na Shahada ya Usimamizi wa Bandari na Usafirishaji (Logistics), nilijikuta nikisota mtaani kwa miaka tisa bila kazi ya maana.


Hali ilikuwa ngumu kiasi kwamba nililazimika kujiunga na vijana wa mtaani kuzibua mitaro ya maji machafu ili tu nipate pesa ya kununua mlo wa jioni.


Kila nikiangalia umri wangu ukigonga miaka 36, nilitamani ardhi ipasuke inimeze. Marafiki zangu wa chuo walikuwa wameshapiga hatua, wengine wakiwa na familia zao, lakini mimi nilikuwa bado ninalala kwenye kochi la kaka yangu huku mke wake akinisimanga kila kukicha.


Nilihisi kuna kifungo kikubwa kimefungwa kwenye maisha yangu, maana kila nikiomba kazi, hata za udereva, nilikuwa naishia kukataliwa bila sababu.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad