BOSI WA DUKA LA VIPODOZI ALIYEKUWA AKISHINDA AKIJIPAKA ‘WANJA’ KISA KUKOSA WATEJA, SASA ‘SUPPLIER’ MKUU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 4 March 2026

BOSI WA DUKA LA VIPODOZI ALIYEKUWA AKISHINDA AKIJIPAKA ‘WANJA’ KISA KUKOSA WATEJA, SASA ‘SUPPLIER’ MKUU

Bosi wa duka la vipodozi aliyekuwa akishinda akijipaka ‘wanja’ kisa kukosa wateja, sasa ‘supplier’ mkuu.
...................................................

Naitwa Aneth, mkazi wa jiji la Mwanza, maarufu kama Rock City. Kwa zaidi ya miaka mitano, nimekuwa nikipambana na biashara yangu ya vipodozi na urembo wa wanawake pale mtaa wa Liberty. Kwa nje, duka langu lilikuwa pambe, lina vioo na taa za rangi, lakini ndani ya droo ya fedha kulikuwa na ukame wa ajabu.

Nilikuwa nafika asubuhi, najipodoa na kupaka wanja saa nane ili tu nionekane nina kazi, lakini jua lilikuwa linazama bila kuuza hata ‘lipstick’ ya shilingi elfu moja.

Hali hii ilikuwa inanitesa sana kisaikolojia. Niliona wanawake wenzangu wakipata wateja hadi wanakosa muda wa kula mchana, huku mimi nikishinda nimepiga deki duka langu mara tano kwa siku kisa kukosa cha kufanya. Bidhaa zangu zilianza kubadilika rangi na zingine zilipitwa na wakati (expiry date) zikiwa bado ziko kwenye rafu. Nilihisi nina nuksi iliyopitiliza.

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad