Jina langu ni Ester, natokea mkoani Shinyanga, wilaya ya Kahama. Kwa miaka mitano ya ndoa yangu, nilikuwa naishi katika mateso makali sana ambayo yalinifanya nianze kufikiria kuchukua maisha yangu. Kila mume wangu alipotaka kunitimizia haki yake, nilihisi maumivu makali sana sehemu za siri kutokana na ukavu uliokithiri na kukosa hamu ya tendo.
Nilikuwa najihisi mwanamke nisiyekamilika na niliyekosa thamani mbele ya mume wangu. Nilihisi mume wangu anateseka kuwa na mimi na sikutaka aendelee kuwa na mwanamke ambaye hawezi kumpa furaha ya kitandani.








No comments:
Post a Comment