MWANAMKE WA KITUI ALIYEANGAIKA KUPATA MTOTO KWA MIAKA 6 SASA NI MAMA MWENYE FURAHA BAADA HUU!! - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, 28 March 2026

MWANAMKE WA KITUI ALIYEANGAIKA KUPATA MTOTO KWA MIAKA 6 SASA NI MAMA MWENYE FURAHA BAADA HUU!!

Safari ya miaka sita ya maumivu.

Esther Mueni, mkazi wa Kitui, anasema alikumbana na changamoto ya kupata mtoto kwa muda wa miaka sita bila mafanikio. Licha ya kuolewa na kuwa na matumaini ya kuanzisha familia, alijikuta akisubiri kwa muda mrefu bila kubeba ujauzito.

Kwa mujibu wake, hali hiyo ilimletea presha kubwa kutoka kwa jamii na hata ndugu wa karibu. Watu walikuwa wakimuuliza maswali ambayo mara nyingi yalimuumiza moyo.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad