Naitwa Kelvin, mkazi wa Arusha. Katika jamii yetu, mwanaume anapofikisha umri fulani bila mke, anaanza kudharauliwa. Mimi nilikuwa na kila kitu; gari, nyumba, na biashara zinazojulikana, lakini kitanda changu kilikuwa baridi kila usiku.
Nilikuwa na miaka 42, na kila binti niliyemvutia alikuwa ananiona kama kaka tu (friendzone). Sikuwahi kupata mwanamke aliyenipenda kwa dhati, wote walitaka pesa zangu na kisha kunisaliti na vijana wadogo.








No comments:
Post a Comment