MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR AN YAFANYIKA WILAYA YA MJINI UNGUJA, ZANZIBAR - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 18 March 2026

MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR AN YAFANYIKA WILAYA YA MJINI UNGUJA, ZANZIBAR

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza wakati wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Machi 18, 2026 ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.

Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akimpa zawadi mmoja wa washindi katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Machi 18, 2026 ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria akiwemo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.
aibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akizungumza wakati wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Machi 18, 2026 ambapo ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria akiwemo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.
Baadhi ya wananchi na wanafunzi ambao walijitokeza kushuhudia Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Machi 18, 2026 ambapo ambapo viongozi mbalimbali ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.

PICHA NA MPIGA PICHA WETU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad