MFANYABIASHARA WA MALINDI ALIYEKUWA NA MIKOSI YA WATEJA ASEMA SASA BIASHARA YAKE IMEJAA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 29 March 2026

MFANYABIASHARA WA MALINDI ALIYEKUWA NA MIKOSI YA WATEJA ASEMA SASA BIASHARA YAKE IMEJAA

Wateja walivyopotea bila sababu.

Ali Salim, mfanyabiashara wa bidhaa za urembo mjini Malindi, anasema kwa muda mrefu alikumbana na changamoto isiyoeleweka ambapo wateja wake walipungua ghafla.

Kwa mujibu wake, biashara yake ilikuwa ikifanya vizuri hapo awali, lakini hali ilibadilika bila sababu ya wazi. Wateja waliokuwa wa kudumu walikoma kuja na hata wale wapya hawakudumu.

Alijaribu kupunguza bei, kuboresha huduma na kuongeza bidhaa mpya, lakini hakuna kilichosaidia.

“Nilikuwa nafungua duka kila siku lakini hakuna mtu anaingia. Ilikuwa hali ya kutisha,” alisema Ali.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad