MWALIMU ALIYEKUWA AKILIA NJAA KALI SASA KAJIPATA VIZURI - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 29 March 2026

MWALIMU ALIYEKUWA AKILIA NJAA KALI SASA KAJIPATA VIZURI

Naitwa Benson, mkazi wa zamani wa jijini Arusha. Kwa miaka mitano baada ya kuhitimu chuo, nilijikita kwenye kutoa huduma za mafunzo ya ziada (tuition) kwa wanafunzi wa sekondari. Pamoja na akili yangu na bidii ya kufundisha, maisha yangu yalikuwa ya duni kiasi cha kutisha.

Nilikuwa naishi kwenye chumba kimoja ambacho hata mvua ikinyesha navuja, na chakula changu kikuu kilikuwa ni ugali wa ngano na chumvi, hali iliyonifanya nionekane kama mgonjwa mbele ya watu.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad