Uzuri wa mwanamke siyo sura pekee, bali ni bahati na nyota iliyong’aa. Mimi naitwa Rehema Juma, mzaliwa wa mkoani Tabora, lakini nimeishi miaka mingi jijini Mwanza nikifanya biashara zangu ndogondogo.
Licha ya kuwa na muonekano wa kuvutia na tabia njema, maisha yangu ya mahusiano yalikuwa ni uwanja wa vilio na masikitiko makubwa. Kila mwanaume aliyekuja kwangu alikuwa akiahidi kunioa, lakini ikifika hatua ya kutoa mahari au kuonana na wazazi, basi hupotea kama moshi.








No comments:
Post a Comment