MSOMI ALIYEKUWA AKIPIGA ‘DEBE’ STENDI SASA ANAMILIKI HOTELI KAMPUNI YA UTALII. - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, 16 March 2026

MSOMI ALIYEKUWA AKIPIGA ‘DEBE’ STENDI SASA ANAMILIKI HOTELI KAMPUNI YA UTALII.

Msomi aliyekuwa akipiga ‘debe’ stendi apata dili la mamilioni ya dola, sasa anamiliki hoteli kampuni ya utalii.
-------------------------------------

Maisha yanaweza kukubadilisha mpaka ukajisahau kama uliwahi kukaa darasani na kuvaa joho la mahafali. Naitwa Juma, mkazi wa Sakina, jijini Arusha. Licha ya kuwa na Shahada ya Usimamizi wa Biashara (BBA), nilijikuta nikisota mtaani kwa miaka sita bila mafanikio yoyote.


Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba nilianza kupiga debe stendi ya mabasi ili tu nipate pesa ya kula na kulipa kodi ya chumba kimoja nilichokuwa naishi.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad