Kisa cha mwanamke mmoja kufumaniwa katika hoteli ya kifahari jijini Nairobi kimegeuka gumzo kubwa mtandaoni baada ya mume wake kujitokeza moja kwa moja kwenye Facebook na kufichua siri nzito za ndoa yao. Tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki limeacha familia mbili zikiwa katika mshangao huku marafiki na jamaa wakigawanyika mitazamo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizokusanywa, mwanamke huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kisheria alionekana akiingia hotelini humo majira ya jioni akiwa ameandamana na kijana anayedaiwa kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja maarufu jijini. Wawili hao walikaa kwa muda kabla ya mume wa mwanamke huyo kufika hotelini humo bila taarifa..

.jpg)






No comments:
Post a Comment