Naitwa Ramadhani, kijana ambaye kwa miaka mingi nimekuwa nikifanya kazi ya utingo wa malori hapa jijini Tanga. Licha ya kuwa ni kazi halali na ya jasho langu, niliishi maisha ya kunyanyasika sana upande wa mahusiano.
Kwa zaidi ya miaka kumi na miwili, nimekuwa nikitafuta mwanamke wa kutulia naye na kuanzisha familia, lakini kila niliyemfuata alikuwa ananitazama kwa dharau na kuniambia mimi siyo “level” yake.
Nilihisi nimekata tamaa kabisa. Nilikuwa nikijitazama kwenye kioo na kujiona ni mwanaume kamili, lakini machoni pa wanawake niliokuwa nawaona kama wenza sahihi, nilikuwa ninaonekana kama mtu asiye na thamani.
Hata wale wanawake ambao maisha yao yalikuwa chini kuliko yangu, walikuwa wakinikataa na kwenda kwa wanaume ambao walikuwa wanawatesa.








No comments:
Post a Comment