Mimi ni Neema, mkazi wa Moshi, Kilimanjaro. Kwenye ukoo wetu, mimi ndiye niliyebaki peke yangu bila kuolewa. Nimekuwa “bridesmaid” (mpambe wa bibi harusi) kwenye harusi zaidi ya kumi, lakini yangu haikuwahi kufika.
Kila nikishika shada la maua (bouquet) kwenye harusi, nilitegemea ndiyo zamu yangu, lakini wapi! Miaka ilikatika, nikafika miaka 39. Kila nikikutana na mwanaume, anaishia kuniahidi ndoa lakini anapotea msimu wa kutoa poso unapofika.








No comments:
Post a Comment