Naitwa Rashid, mkazi wa mkoa wa Tanga. Tanga inajulikana kwa wanawake wenye adabu na mapenzi, lakini ajabu ni kwamba mimi nilishindwa kupata mke wa ndani. Kila mwanamke niliyemleta nyumbani alikuwa akiondoka baada ya muda mfupi akidai kuwa anahisi hofu au hapati amani akiwa na mimi.
Nilikuwa na miaka 44 na nilikuwa naishi kama mnyama wa msituni, bila msaidizi wala mwenzi wa kuzungumza naye baada ya kazi.








No comments:
Post a Comment