RAIS DKT. SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI PAMOJA NA MAKUNDI MBALIMBALI JIJINI ARUSHA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, 2 March 2026

RAIS DKT. SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI PAMOJA NA MAKUNDI MBALIMBALI JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwamiminia uji wanafunzi wa Assalaf Islamic Seminary kutoka Ummu Aisha Orphanage Centre, walioshiriki kwenye Futari aliyowaandalia pamoja na Makundi mengine ya jamii, Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 01 Machi, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Futari aliyowaandalia Viongozi wa Dini, Viongozi wa Mkoa wa Arusha, Watoto yatima, Wajane, Wazee pamoja na Makundi mengine ya jamii katika Ikulu Ndogo ya Arusha, tarehe 01 Machi, 2026.
Viongozi wa Dini, Viongozi wa Mkoa wa Arusha, Watoto yatima, Wajane, Wazee pamoja na Makundi mengine ya jamii wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 01 Machi, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad