RAIS DKT. SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWA LUKUVI - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, 28 March 2026

RAIS DKT. SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWA LUKUVI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwaongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi, tarehe 28 Machi, 2026.
Familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi, ikiwa kwenye Misa takatifu ya kumuombea Marehemu katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Machi, 2026
Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye Misa takatifu ya kumuombea aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Machi, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya kuwaongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad