Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili tayari kuwaongoza waombolezaji katika kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Marehemu William Vangimembe Lukuvi leo Machi 28, 2026 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Saturday, 28 March 2026
RAIS SAMIA MSIBANI KWA LUKUVI KARIMJEE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni chombo cha habari kinachotoa habari na matukio mbalimbali nchini Tanzania na kokote duniani ,kwa kujali weledi na taaluma ya habari.
KWA MATANGAZO NA HUDUMA YA HABARI, WASILIANA NASI,
0754 362 990.
0688 914 344
Email: singidani77@gmail.com,










No comments:
Post a Comment