Tahadhari imezidi kuongezeka katika eneo la Arusha baada ya kijana mmoja kudai kuwa maisha yake yamegeuka kuwa ya hofu kufuatia tukio la kushangaza alilopitia usiku wa manane.
Kijana huyo anasema alipewa ofa ya utajiri wa haraka na mtu asiyejulikana, lakini alipoikataa, ndipo matukio ya ajabu yalianza kumwandama.








No comments:
Post a Comment