Hofu na mshangao umetanda katika familia moja jijini Tanga baada ya mtoto wa miaka saba kudai kuwa amekuwa akiongea na rafiki asiyeonekana kwa macho ndani ya nyumba yao.
Kauli ya mtoto huyo imeibua maswali mazito huku wazazi wakihaha kutafuta ukweli wa jambo hilo lisilo la kawaida.
Kwa mujibu wa mama wa mtoto huyo, tukio hilo lilianza kama mchezo wa kawaida lakini baadaye likageuka kuwa la kutisha.
Mtoto alianza kutaja jina la mtu ambaye hakuna mtu anayemfahamu, akidai kuwa “rafiki” huyo huja kucheza naye kila jioni.









No comments:
Post a Comment