𝐌𝐒𝐎𝐌𝐈 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐒𝐇𝐎𝐍𝐀 𝐕𝐈𝐀𝐓𝐔 𝐌𝐓𝐀𝐀𝐍𝐈 𝐀𝐏𝐀𝐓𝐀 ‘𝐒𝐇𝐀𝐕𝐔’ 𝐋𝐀 𝐔𝐍 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, April 30, 2026

𝐌𝐒𝐎𝐌𝐈 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐒𝐇𝐎𝐍𝐀 𝐕𝐈𝐀𝐓𝐔 𝐌𝐓𝐀𝐀𝐍𝐈 𝐀𝐏𝐀𝐓𝐀 ‘𝐒𝐇𝐀𝐕𝐔’ 𝐋𝐀 𝐔𝐍

Maisha yanaweza kuwa katili sana, hasa unapoona wadogo zako uliowasomesha wanakupita kimaendeleo wakati wewe umeshikilia karatasi za chuo zinazoliwa na mchwa. Mimi naitwa Mariam, mzaliwa wa Ilemela, jijini Mwanza.

Nilihitimu shahada yangu ya Uhasibu (Accounting) kwa kiwango cha juu, lakini mtaani niligeuka kuwa mtu wa dharau. Nilifikia hatua ya kukaa pembeni ya barabara nikisaidia mama yangu mdogo kushona viatu vya kimasai ili tu nipate mlo wa mchana.


Kila usaili niliokwenda, nilikuwa naonekana sifai, au nafasi inachukuliwa na mtu mwenye kujuana na wakubwa. Umri wangu wa kuelekea miaka 30 ulinifanya nikose amani; kila ndugu aliyeniona aliniuliza “Lini unaolewa?” au “Kazi mbona hupati?”.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad